vinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  2. Hyrax

    Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  3. U

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au Sabato!

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Wadau hamjamboni nyote? Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
  4. balibabambonahi

    Wakala wa vinywaji vya MO.

    Natafuta wakala was vinywaji baridi hasa kampuni ya Mo.Nahitaji wakala aliyepo maeneo ya Kariakoo,Muhimbili ma maeneo ya jirani.Nipigie 0747464239
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
  6. Roving Journalist

    Matumizi ya Kemikali ya Ethanol yanaweza kuathiri ini na kusababisha Saratani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo halali Wahusika hao waliohukumiwa Frank Donatus Mrema, Faham Salim Ngoda na Issa Juma Hassan walitumia...
  7. G

    Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  8. me1

    Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Habari wakuu,
  9. Hakuna anayejali

    Enzi zile wahudumu wa baa walikuwa wanahudumia tu vinywaji

    Lakini sasa imekuwa tofauti sana wahudumu wengi wa baa hawauzi tu vinywaji bali wanauza miili yao wanafanya ngono kwa malipo ya pesa. Sheria ya vileo inaruhusu hili kutendeka? Nini kifanyike?
  10. Determinantor

    Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  12. M

    Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  13. Roving Journalist

    NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha Chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa hizo

    Baraza la Usimamizi na Utunzaji Mazingira Nchini NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa za rangi ambazo zimekuwa zinachafua mazingira kwa kuzagaa maeneo mbalimbali. Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la...
  14. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  15. Hyrax

    Pepsi na Coca ni vinywaji vinavyozeesha haraka kuliko pombe

    Mimi ni mtu ninayependa kufanya tafiti mbalimbali za maisha kila siku japo si jambo nililosomea ila huwa napenda tu kuchunguza mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla wake iwe kupitia watu wengine au mimi mwenyewe, twende kwenye hoja kuu. Baada ya kupata kazi yangu ya kwanza mwaka 2010 kwenye...
  16. HONOURABLE PETER

    Nahitaji kuanzisha duka la vinywaji, naomba mwongozo

    Wakuu habarini, Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi? Karibuni kwa mawazo
  17. KING MIDAS

    Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
  18. Bushmamy

    Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

    Miji mingi yenye hali ya hewa ya joto wengi tumeshuhudia. Matumizi makubwa ya soda na vinywaji vya energy. Baadhi ya watu hutumia soda hadi tatu kwa siku pamoja na vinywaji vya energy, na wengi wao wanakuambia hawawezi maliza siku bila kunywa soda/energy Wengi wa wanaofanya kazi juani muda...
  19. Melki Wamatukio

    SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  20. Blasio Kachuchu

    Kinywaji kitamu chaonekana Coco Beach

    Katika pita pita zetu maeneo ya koko beach tulikutana na bango la vinywaji ambacho hakikueleweka ni kampuni gani japo wananchi waliokuwa wanapita walionja onjaaa. Nasi tulijongea nasi kujipatia kamnyeso katamu japo katika dadisi dadisi zetu hatukuweza kujua ni kampuni gani? Basi leo tutarudi tena.
Back
Top Bottom