vinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

    Miji mingi yenye hali ya hewa ya joto wengi tumeshuhudia. Matumizi makubwa ya soda na vinywaji vya energy. Baadhi ya watu hutumia soda hadi tatu kwa siku pamoja na vinywaji vya energy, na wengi wao wanakuambia hawawezi maliza siku bila kunywa soda/energy Wengi wa wanaofanya kazi juani muda...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Kinywaji kitamu chaonekana Coco Beach

    Katika pita pita zetu maeneo ya koko beach tulikutana na bango la vinywaji ambacho hakikueleweka ni kampuni gani japo wananchi waliokuwa wanapita walionja onjaaa. Nasi tulijongea nasi kujipatia kamnyeso katamu japo katika dadisi dadisi zetu hatukuweza kujua ni kampuni gani? Basi leo tutarudi tena.
  4. dracular

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  6. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  7. Simon4

    JamiiForums Tanzania Business ya kuuza vinywaji

    Nahitaji kujua ni mtaji kiasi gani inayo hitaji ili kuanza biashara ya kuuza vinywaji kwa bei za reja reja
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  9. Nobunaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini vinywaji type ya "Mo Energy" au "Amaz Energy" vinaongeza ashki ya ngono?

    Nilikuwa nasikiasikia tuu watu wakisema hivi vinywaji type ya "___ Energy" vinaongeza nguvu ya mwili na ashki ya mapenzi, pamoja na sifa zingine zingine ila nikawa siamini. Kutokana na maneno maneno mengi kuhusu hizi aina za vinywaji, basi sikuvutiwa navyo sana na niliamua kukaa navyo pembeni...
  10. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vinywaji vikali

    Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub. Nina mtaji wa 20m
  12. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  13. More Chances

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kufungua Duka la Vinywaji

    I wish niwe na biashara kabla ya mwaka huu kuisha. Moja ya biashara inayo trend kichwani mwangu ni duka la vinywaji. Yani niuze vitu vifuatavyo. Bia Pombe kali kama K. vant na konyagi. Soda zote +plus takeaway. Maji ya jumla na rejareja. Sigara za jumla na rejareja. Wine kidogo. Naomba wale...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vinywaji Vikali ( K-vant, konyagi, valuu n.k) haviwekwi kwenye friji?

    Salama wakuu Ningependa kujuwa sababu za msingi na za kueleweka kuhusu Vinywaji Vikali,, Nimeenda maeneo mengi kunywa ila sijabahatika kukuta asilimia kubwa ya Vinywaji Vikali vikiwa kwenye friji je sababu kubwa huwa ni ipo? Ningependa kujuwa ni maeneo gani naweza pata K-vant ya baridi au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua kampuni ya huduma ya chakula na vinywaji

    Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na inafanya kazi Ina vifaa vyote vinavyohitajika katika kazi hii pamoja na ofisi pamoja na wafanya kazi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

    Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu. Asante
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unachukuliaje tabia ya watu kubeba vyakula au vinywaji toka kwenye masherehe na kurudi navyo nyumbani

    Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika. Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii? Je...
  18. j_h_kirigini

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji ya kioo (milango miwili) - biashara ya vinywaji

    bei yake: 1.2 milioni sehemu: ukonga, g.mboto namba ya simu: 0764 509226 risiti yake ipo. gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Viwanda vinavyouza vinywaji kwenye chupa za plastiki vinatakiwa kuwajibika na uchafu wa chupa hizo

    Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo. Itafutwe namna Wazalishaji wa...
  20. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Vinywaji vya jumla vinapatikana wapi?

    HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali. Kuachana na Manzese ningependa kujua wale wa manzese wanapatia wapi? Na je! Hawa sales representative wa makampuni...
Back
Top Bottom