vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni Pesa/ hela muepukane na hizi dharau

  2. JamiiForums Tanzania Mabinti ndio sababu ya vijana wengi kusema uongo

    Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni: "Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo. Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kisambaa kwa umarioo hamjambo

    Kula chuma hiyo. Kusah Vs Aunty Ezekiel Rich mitindo Vs Jacklin Wolper Lugendo Vs Shamsa Ford Vijana wa kisambaa mmekuja kuwaje Wakati Sisi wazee wenu tulikuwa tunatambulika kwa uchapakazi? Mnakera.
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
  5. JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, vijana wa kitanzania wanafahamu juu ya faida za kuwekeza katika umri mdogo?

    Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo; 1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  8. JamiiForums Tanzania Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  9. JamiiForums Tanzania Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  12. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika imani kwa vijana

    STORY OF CHANGE Katika maada yangu ya mabadiliko mimi napenda kuzungumzia suala zima la iman,kuwa na imani na viongozi tuliowachagua/ wanao tuongoza ni jambo lingine lakini suala zima la iman nalielekezea katika dini, Mungu ndie kiongozi wetu mkuu na ni mfalme wa aman tukimuamini yeye yote...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasomi vijana wasio na kazi

    Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35. 1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania 2. Fanya mtihani wa lugha ya German German inatoa viza za kazi kwa wasomi . Fuatilia badala ya kupoteza muda na kutegemea watu wakuletee information zote...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Miaka ya 80 wakati tuko watoto ilitokea misiba ya vifo vya utatanishi, sijui kama ni utatanishi au ni kwasababu nilikuwa mtoto hivyo sikuelewa mwisho wa hizi case . Kifo ha kwanza kilikuwa cha kijana mmoja alijulikana kama Makatta Makatta, huyu inasemekana aliuawa kwenye party maeneo ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi wa kiume miaka ya leo wanaogopa kuoa? Sababu hizi hapa

    Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu mujarabu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo na waoga hasa linapokuja suala la kuoa?Kadri siku zinavyokwenda ndivyo hivyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kkuongezeka Unakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na...
  17. JamiiForums Tanzania Gari nzuri kwa watu wenye vipato vya kawaida hususani vijana

  18. JamiiForums Tanzania Visungura, Shisha vyazidi kuteketeza Vijana nchini

    Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi 40, Madaktari Bingwa watoa onyo Serikali ichukue hatua za haraka kudhibiti biashara ya Pombe Kali za...
  19. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira kwa Vijana Zinasaidia Kuongeza Kodi kwa Serikali

    MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupigania watanzania na Jimbo la Masasi kuhakikisha changamoto za...
  20. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Boko Haram wenye mlengo wa kidini wachinja vijana maporini

    Walikuta hao vijana wakichanja kuni na kuwaua..... Suspected Boko Haram insurgents on Thursday killed youths across four contiguous communities in Mafa and Jere Local Government Areas of Borno State. Four of the youths who were reportedly in the bush fetching firewood, were in Tamsu-Ngamdu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…