Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili:
Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
26 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania
Video courtesy of Azam TV
Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
Ndugu zangu,
Kabla ya wiki kuisha nimeona niwashirikishe hili. Wiki hii nimehudhuria warsha kadhaa hapa mjini na nimeona kitu ambacho naweza kusema ni wimbi la uwepo wa vijana wengi wasomi ambao nadhani wamevutiwa na idea nzima ya kuitwa/ kujulikana kama waanzilishi au ma-ceo katika makampuni...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji.
Kunzenza...
Ndugu zanguni,
Hawa wanasiasa hawana nia njema na watu wa kawaida hata siku moja. Siku zote mwanasiasa anaanza kuangalia masilahi yake binafsi then atawaangalia jamaa zake wa karibu,ndugu na marafiki.
Ndiyo,lazima niseme hivyo...hatuna kiongozi wa kisiasa aliyepita,aliyopo madarakani wala...
Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.
Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa.
Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya Rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Nyerere...
Rais Samia Suluhu katika ufunguzi wa chuo cha ufundi mkoani Kagera leo ameongelea mambo mengi sana lakini lililonikosha ni hili la kusomesha vijana wanaotoka katika familia duni hii inaonyesha kua Rais Samia Suluhu anampango wa kuwainua vijana na kuondokana na Tatizo la ajira Tanzania kupitia...
Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi.
Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
Wana JF.
Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori.
Kwanini mchwa ndio chanzo...
Salam wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni mitaji na ubunifu sahihi wa biashara katika mazingira husika.
Wakuu habari za masiku ndugu zangu poleni na mihangaiko ya siku.
Nilikuwa na ushauri kwa vijana tunaopambana kutafuta kuna ile unapata hifadhi mbali na nyumbani huenda ni kwa ndugu au rafiki tujitahidi tukifika maeneo mageni tuache vitabia vyetu vya ambavyo unaona vitakuwa kero kwa mwenyeji...
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
Katika kusherehekea siku ya wazee duniani, nimefanikiwa kuwaona baadhi yao wananyuso za furaha, na wengine wana nyuso za huzuni; ikiashiria vijana wameshindwa kufanya nyuso za wazee wao kuwa na furaha.
Unakuta mzee bado anapambana kutafuta mkate wa kila siku, na wengine bado wanalea wajukuu...
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.
Kuna mashoga kadhaa...
Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja.
Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.