vijana

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kama 77% ya Watanzania ni vijana chini ya Umri wa miaka 35 shida kubwa ya umasikini wetu ni kuongozwa na wazee

    Kwanini wazee wenye umri mkubwa ndio wanatuongoza lakini si vijana ambao ndio wengi katika Taifa letu?
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  3. aka2030

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

    Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa. Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  5. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
  6. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Mafisadi jitahdini angalau kutoa mikopo kwa vijana

    Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi , Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni ...
  8. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM Songwe yatia neno mikopo ya Vijana kusitishwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri. Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Yataka Udahili wa Vijana BBT Uongezeke

    UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kila muhula inaongezeka. Ndugu Kawaida ametoa kauli hiyo...
  10. stineriga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  12. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jukwaa kama hili hakuna wazee wa busara maana uku kuna vijana wa ovyo, malezi zero

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. ..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana. 👇 Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  14. willpower

    JamiiForums Tanzania Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Kwa wadogo zangu: Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi. Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
  15. EBENEZER S MATHEW

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania: Mkiwa katika usingizi wa pono wao wanajichotea nyama zote

    Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama zote. Mkija Kupata ufahamu mtajikuta mmechelewa hakuna Mtu ambaye hajui kuwa ushoga ulikuepo hapa...
  17. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Je, CCM Inapaswa Kulaumiwa kwa Vijana Kupoteza ari ya Siasa nchini? Tafakari Kuhusu Elimu ya Siasa Tanzania

    Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,. Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum. Picha kwa hisani ya mtandao.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  20. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
Back
Top Bottom