vijana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaookota mipira uwanjani waswahili husema usiige kunya kwa tembo. TFF chukueni hatua tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Siku zote mtu kufanya jambo lisilo la kwako na kulifanya kuwa la kwako lazima utaangukia pua tu. Tangu mechi ya Jana kati ya Taifa Stars na Niger kuna kitendo kilifanywa na hawa Vijana wanaookota mipira uwanjani, walirusha mara kadhaa mipira uwanjani kwa mkupuo. Watanzania wengi walishangilia...
  2. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania SoC03 Azimio la Vijana haliepukiki kama tunahitaji Katiba Mpya

    KATIBA Ni sheria kuu au sheria mama ya nchi, kutokea humo zinazaliwa kanuni zote sheria zote na taratibu zote. kwa msingi huo katiba ni msingi mkuu na muongozo wa nchi unaotoa muongozo wa namna gani nchi inapaswa kuongozwa. (Ni mkataba unaotoa muafaka baina ya mtawala na mtawaliwa). katiba ya...
  3. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu nina wakumbusha

    habari zenu wana JF sina mengi ya kuwambia zaidi ya kuwakumbusha vijana wenzangu kuhusu NYETO.. jitahidini muache kwajili ya afya ya mikuyenge yenu, mimi nina mshukuru mungu kwani umepita mwezi sasa sijapiga PULI,,,
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiti unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao hata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu, sijui kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija kama vijana wanawaza mambo yasiyo na maana na hawawezi kujitegemea. Kundi la watu angalau wapo timamu ni over 35.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza: Ushoga Ukahaba Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee Kamari Kula bange Ulevi na shisha Kulelewa na majimana Trisome Unga...
  8. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

    Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili. Kuchukua Mwanamke maskini...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tuwakumbuke vijana wa kiume kwenye mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Utangulizi. Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa watoto wa kike. Hapa ndipo Serikali na asasi nyingine zisizo za kiserikali kuanzisha kampeni tofauti...
  11. Disney mbola

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

    Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
  12. Baltazary Twati

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ajiralink.com - kuunganisha vijana na fursa za ajira na ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo

    Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449. Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania FUNZO: Enyi vijana watafutaji mnaojiweza kiasi kiuchumi msizoeane kabisa na wenye nyumba wenu

    Habari wana jamvi Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie. Kuna dogo mmoja kumpa mwenye nyumba wake 30 au 20 ilikuaga kawaida. Siku mzee yule akamfuata dogo...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

    Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom. Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Katarina sauti ya vijana Afrika

    Ilikuwa ni siku yenye mawingu mepesi sana na sauti za ndege zilikuwa zikisikika kutoka katika viunga vya chuo ambacho Katarina alikuwa akisoma. Siku hiyo ilikuwa ndiyo siku ambayo wanachuo wengi akiwemo Katarina, walikuwa wakimalizia mitihani yao. Katarina na wanachuo wenzake walikuwa wakisoma...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
  18. Thomali

    JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  19. Daud Nyanda

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya mitandao ya kijamii katika utoaji ajira kwa vijana

    Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji...
Back
Top Bottom