vijana

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dar inaongoza vijana watu wazima kuishi kwa wazazi wao

    Habari zenu, Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao. Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao. Vijana wengi wa Dar...
  4. iSirius

    JamiiForums Tanzania Mitaji inatukwamisha vijana

    Mimi ni kajana niliye fanikiwa kusoma na kumaliza Bachelor ya Business Administration. Tangu kumaliza chuo (2022) hadi leo, nimebahatika kufanya kazi katika kampuni 4 zinazojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Nje. Kutokana na changamoto za kazi, ndo zilinifanya kuhama hama na hatimaye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana msikimbilie kuoa kabla hamja jitambua!

    Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika. 1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati 2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa...
  6. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi...
  9. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  10. Chance Media

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana. Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
  13. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  14. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

    Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao...
  15. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Baruani Mshale: Usiposhiriki uchaguzi utachaguliwa Kiongozi usiyemtaka

    Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia kuchaguliwa kwa Viongozi ambao hawawataki. Amesema "Tuchukulie mfano wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pale...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Magonjwa tishio kwa vijana

    Katika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu 1. Ugonjwa wa Figo Visababishi -UTI isiyotibiwa ulevi high blood pressure isiyodhibitiwa -Matumizi ya sigara -kutokufanya mazoezi - Kutokunywa maji 2. UTI -Ngono isiyosalama -Masuaka ya Usafi 3. HIV/AIDS...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko ataka Umoja wa Vijana CCM kushikamana kuleta maendeleo

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya kuelekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kongamano hilo ambalo limefanyika katika Wilaya ya...
  19. blogger

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi pombe za kwenye vichupa vya plastiki zipigwe marufuku haraka, vijana wataisha

    Hali hii
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii. Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
Back
Top Bottom