Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna...