vijana

  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

    Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona. Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
  3. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaopenda Kitonga, hili chimbo liko wapi?

    Hili chimbo huko Mjini lipo pande zipi?
  4. toriyama

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

    Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

    Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

    Mfahamu CleoWilskut, Binti wa miaka 20 anayeanza Safari ya kuwawakilisha Vijana Bungeni, Afrika Kusini Je, Tanzania inawezaje kuongeza Ushiriki wa Vijana kwenye Masuala ya Uongozi/Demokrasia?
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mariamu Sagini awaasa vijana wa kike kutengeneza nafasi za Uongozi

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amewataka vijana hasa wa kike kutengeneza historia nzuri maishani kwa kujaza nafasi za mbalimbali za uongozi hasa kadri zinavyojitokeza. Akizungumza na vijana kwenye Hafla ya Ufungaji wa Kambi la Umoja wa Vijana mkoani Katavi iliyofanyika katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania List ya vijana 10 Tanzania waliobadilishwa maisha na ujio wa Mtandao. Bando zao zimewapa maisha mazuri

    Habari wadau. Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube. Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
  12. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya vijana kwenye urithi wa nchi

    Vijana ni kundi la watu ambalo lipo kati ya umri wa miaka 18 mpaka 40, hii hutofautiana kwa baadhi ya jamii nyingine. Kundi hili ndio kubwa zaidi kwenye nchi yetu na linaongezeka kwa kasi kila siku(Sensa 2012-2022). Katika kipindi hichi cha ujana ndicho kinapaswa Vijana wapewe Elimu na Mafunzo...
  14. sos_10

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ubora wa usajiri wa vijana kwenye mradi wa kilimo wa Build Better Tomorrow (BBT) ili kuleta tija kwa vijana na taifa kiujumla

    Mradi wa build better tomorrow (BBT) Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023 Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza tatizo la ajira nchini Yafuatayo yafanyike ili kuboresha mradi huu uwe endelevu na wenye tija Kwa...
  16. Golden Elimeleck

    JamiiForums Tanzania SoC04 Eight(8) Secrets of Combating poverty among Tanzania youth's toward New Tanzania

    Poverty among youth's in Tanzania is very serious issues thereby inorder to ensure every youth in Tanzania become financially secure the following are 8 Secrets to concentrate as explaned by six points below 1. Education and Continuous Learning Education forms the foundation for personal...
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya sasa hata Tanzania yalishawahi kutokea, VIJANA 2000 SOMENI HII

    Kinachotokea Kenya sasa baadhi wa Watanzania wanawasifu raia wa Kenya Kuwa wameelimika zaidi kudai haki zao kuliko wa Tanzania. Wanaosema hivyo labda wamezaliwa miaka ya 1999 kuja 2000. Tanzania 🇹🇿 walifanya haya wanayofanya Kenya 🇰🇪 miaka 23 iliyopita . Yaani Mwaka 2001 Chama Cha Wananchi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awapongeza vijana kwa kuthubutu.

    Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...
  20. Alexis Mbunda

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo

    Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo. Ningependa kuanza na swali inawezekanaje kijana alietoka kukopeshwa na serikali miezi michache iliyopita milion za pesa awe "hakopesheki" ilhali alikopeshwa bila ya kua na uhakika wa kupato cha kurudisha mkopo huo? Sasa kwanini kusiwe kuna bodi...
Back
Top Bottom