Vijana tusing'ang'anie Dar

shuka chini

Senior Member
Feb 27, 2024
101
260
Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.

Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.

Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.

Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
 
Jambo la muhimu sio kukaa DSM au mkoani Ila jambo la muhimu nikujua kusudio lako la maisha na kuanza Ku-chase dreams.

Kazi
Kilimo
Biashara
N.k

Ni vitu vidogo kwa MTU anayejua anahitaji na ni vitu vikubwa kwa MTU asiyejua anahitaji nini ktk maisha.

On mind is where ur treasure is
(Katika Akili yako ndo kuna hadhina yako na sio kukaa kijijini au mjini.
 
Hodi wadau mm ni mgeni kiuanachama ila nimwenyeji kiusomaji .Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana.hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya dar.huku mikoani Kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari .Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto,foreni,kelele Yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwaleo naishia hapa karibuni mpanda kalila tulime mpunga.
umeongea jambo la maana sana na la msingi mno 🐒

jamaa mwaka wa 14 kang'ag'ana dar kazini mshahara la5 kwanza kabisaa haumtoshi, kodi kachumba kamoja kadogo kichizi, hawez nunua kiwanja wala boda boda akati vijana wadogo tu kijijini kwa kilimo na biashara wana mijumba na mahekalu ya hatari huko kijijini ana watoto wa kuzaa kama wote 🐒

town ni kupigwa jua tu na kujipoaza na kahawa baadae jioni 🐒
 
Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.

Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.

Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.

Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Hongera wa kijijini unayevuta hewa safi,tuachie hewa yetu ya dar🤓
 
Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.

Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.

Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.

Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Vp mchele au mpunga gunia shingapi ili tuje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom