Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri...
Ipo siku tutaeleweka tu, kwa mwendo huu huu, hongera kwa kizazi chetu cha kesho, ni wazi tunapokeza taifa kwa vijana walio tayari kufanya makubwa huko mbele.
=======
Savanna Circuit Tech company founders Percy Lemtukei (right) and Emmastella Gakuo (left).
A Kenyan company, Savanna Circuit...
Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k.
Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa.
Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
Huyu ni mzaliwa wa Bukombe na Mkazi wa Mwanza, alipata mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa Kigoma na baadaye kuajiriwa serikalini Mwaka 2017. Kituo Cha kazi ni Dodoma, hana makazi Hai, anaonekana kwenye clip akiwa nyuma ya mwongoza maandamano.
Sambamba naye yupo sister Blandina Lucian Kalinzi...
B. Kwa vijana wakiume
1. Yuko tayari kubishana na hata kupigana kisa Simba na Yanga
2. Yuko tayari kubishana na kupigana hata kisa Daimond na Alikiba
3. Yuko tayari kulala njaa aende kwenye fiesta akaambiwe uko tayari, nyoosha mikono juu, mara kushoto kulia etc.
4. Yuko tayari kumuomba mtu hela...
Hello JF,
Nimeona trends huku mitandaoni kuhusu kilimo.
Nyingi zinaonyesha, vijana 's preference of white collar jobs.
Vijana wengi wana negative attitude towards Kilimo.
This is sad, because; Vijana ndio wenye nguvu za kilimo sio wazee.
I just think, compared to wazee, vijana have got soo...
UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo.
Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
Nipo naangalia uchaguzi wa wabunge vijana Viti Maalum Chama cha Mapinduzi. Ushauri wangu, kwa kuwa maana ya vijana ni vijana wa kike na wa kiume, basi wagombea wa nafasi za ubunge ziwahusishe vijana wote wa kike na wa kiume kuwakilisha wenzao.
Hii ni kutokana tayari kuna nafasi za viti maalum...
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.
Selasini ametoa kauli hiyo hii leo...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Habari zenu Wana JF
Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.
Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza...
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
Nimeamka asubuhi nimecheka sanà.
Naona vijana wasio na kazi wanavyohangaika kila kona kutupia post za ushindi kwa wapinzani so sad wakiwa na matumaini ambayo hayapo.
Poleni sana msiteseke kamwe chama CCM pekee hao watapiamlo wanapambana sababu ya msosi wa watoto zao.
Uamini someni nyakati...
Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen.
Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua akivuma sana hasa kwa waliokaa mabibo hostel alikua anataniwa kiti moto. Nadhani alikua Law yule.
Yuko...
Wajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
Wandugu naomba kujua hawa viti maalum wa CCM ni kipi huwa kigezo tofauti na kura wanazopigiwa na wanachama wenzao hasa wajumbe?
Kiukweli wengi wao ukiwaangalia ni wanavutia kwa sura mpaka unasema hivi wanachagua miss Tanzania au pia ni waxuri kwenye kujenga hoja huko bungeni?
Naomba mtujuze...
Vijana wa Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Dar es Salaam, leo Julai 23, 2020, wamemchukulia na kumkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.