Vijana oeni mapema

Ramaan

Senior Member
Aug 7, 2020
104
223
Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game. Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa. Now nipo kwenye 40, naona kabisa uwezo wangu umeshuka sana, ingawa bado napigana lakini sio kama mwanzo.

Hoja yangu ni kwamba, vijana oeni mapema, muweze ku-enjoy sex katika ujana wenu ,na wake wa ujana wenu. Itafika kipindi utatamani ukae kifuani Kwa mpenzi wako angalau dakika 30, na hutaweza hata dakika 10, na bado ukiwa unamtamani mpenzi wako, na matokeo yake ndio utumiaji wa vumbi la mkongo na takataka nyingine kama hizo zinaanza. I miss my old days.
 
Hahahahahaa sikucheki ila nimekumbuka hekaheka za Baba Belinda....

Tumepishana miaka 5, yeye akiwa na miaka 55 mimi nilikuwa na miaka 50.

Tulichukua likizo ya mwezi mmoja, aiseeh tulipampuana siku nzima.

Siri kubwa kati yetu ni mazoezi na lishe bora, Ila pia bado tuna mahaba kila mmoja wetu bado anamhitaji mwenzie kimwili, kihisia na kilakitu.

Achana na madawa ya kuongeza nguvu ni danganya toto hiyo.

Kasie mpenda Mahaba.
 
Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game , Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa. Now nipo kwenye 40, naona kabisa uwezo wangu umeshuka Sana, ingawa bado napigana lakini sio kama mwanzo. Hoja yangu ni kwamba, vijana oeni mapema, muweze Ku enjoy sex katika ujana wenu ,na wake wa ujana wenu. Itafika kipindi utatamani ukae kifuani Kwa mpenzi wako angalau dakika 30, na hutaweza hata dakika 10, na bado ukiwa unamtamani mpenzi wako, na matokeo yake ndio utumiaji wa vumbi la mkongo na takataka nyingine kama hizo zinaanza. I miss my old days.
We umemchoka mke wako
 
unapenda sana sex eeh?
 
Kijana, bila Shaka utakua unatumia pombe/kilevi.

Hii kitu Ni mbaya kwenye haya masuala, 40's mbona wewe bado mbichi kabisa hutakiwi kupungukiw nguvu kabisa.

Ila Kama unatumia mvinyo hata uwe 20 yrs lazima ufeli.
 
Back
Top Bottom