Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema?
Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu.
Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
kiukweli ili jamo kwa utanda wazi linaleta mambo magumu.
mahali za kimila na pande mbili kutaka kujuana ndio chimbuko la matatizo.
unakuta wazazi ni watanzania na mtoto ni china. ila kwa akili zetu zilivo jinga wazazi wanataka kwenda china kutoa mahali.
vijana wengi kizazi hiki tuanze nchi...
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.
Pili niende kwenye mada moja kwa moja
Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani flani ,nk, ila leo nimejikita KWa Hawa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA (MCT).
Binafsi Kama baba na mlezi...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua...
Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist )
Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa...
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion )
Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni...
I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga
Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama...
Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka.
Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
Vijana mnaotoka vyuoni kuweni makini.
Unaomba kazi unaenda kwenye usaili unashushiwa mvua ya maswali kama vile upo mahakamani.
Unaanza kazi bosi wako anaua ndoto zako na kipaji chako kupitia mshahara mnono, posho, vyeti vya utendaji bora wa mwaka na hata kukupa vyeo vingine fake.
Mwisho wa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara.
Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale...
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022.
Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli.
Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa
Nakumbuka wakati humphrey...
Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu watoto/vijana wao, wanasema wamekimbilia mjini kutafuta maisha, na wengine wanazaidi ya miaka 10...
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.
Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
Taswira kwa hisani ya Google
Utangulizi.
Vijana wengi (siyo wote) sehemu nyingi za dunia wako kwy mkwamo wa maisha pasina kujali wamesoma au la madhali wote wako kwy kundi la ujana. Vikwazo vinavyowakabili vijana wasipate maisha bora viko katika sura mbili, moja vikwazo vya kimfumo na pili ni...
Tanzania ni moja ya mataifa ya kiafrika yenye idadi kubwa ya vijana. Inakadiriwa ya kwamba zaidi ya theluthi moja ya watanzania wote ni vijana, Yaani kwenye kila watu watatu mmoja ni kijana. Hii inaweza kuwa moja ya fursa kubwa kwa taifa au Bomu moja litakalolipua uchumi wetu, itategemea na...
Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...