vijana

  1. X

    JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  2. F

    Rais Samia Suluhu ni kweli hakuna vijana unaowaamini?

    Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao. Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana, wanahitaji kupewa nafasi za uongozi ili kuleta tija na msukumo mpya katika utendaji wenye ufanisi...
  3. Nigrastratatract nerve

    Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  4. Q

    Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi. Mienendo na...
  5. sky soldier

    Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  6. Poppy Hatonn

    Rais Samia atangaza vita dhidi ya vijana.

    Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera. Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba. Ile hotuba ya Jana,Mimi ningekuwa kijana ningekuwa na wasi wasi. Bado tu kusema kwamba atawafutia mashamba wakalime...
  7. S

    Kuongeza wigo wa kodi na makusanyo: Serikali ibuni vyanzo vipya na Mkurugenzi Mkuu wa TRA na waajiriwa wapya wa TRA waajiriwe kwa mikataba

    Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
  8. Chizi Maarifa

    Wazee mmeamua kutusemea kwa Rais? Na sisi vijana tuna malalamiko yetu juu ya wazee hawa

    Wazee wanalalamika vijana hatuwapishi viti kwenye daladala, wazee wenyewe hawa hawa tunakimbizana nao kufuatilia mademu? Inaumiza mzee anastaafu halafu kiinua mgongo chake anatumia kuinulia mti nyama ili akakamue binti mkali. Kwani uongo? Hawa wazee wanahonga mabinti siku hizi sisi vijana...
  9. Pain killer

    Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

    Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
  10. BILGERT

    Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  11. Kipenzi Changu

    Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  12. K

    Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  13. C

    Vijana tunakosea wapi siku hizi?

    Habari ndugu wananchi, Kidumu Chama cha Mapimduzi😎 Kuna jambo moja hua nalifikilia sipati jibu. Kipindi nazaliwa namkuta maza tayari ana mashamba makubwa ana viwanja ana mifugo ana asset kibao. Mzee alikua kaoa mitara so home kwetu hakua ana deal napo sana. Mama yetu ni mkulima, yaan...
  14. Kifaru86

    Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

    Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu...
  15. S

    JKT waliorudishwa nyumbani watakiwa makambini

    Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari mwaka huu kurejea makambini. Kaimu mkuu wa utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan...
  16. S

    Wahitimu wa vyuo tusio na ajira tunakusudia kuitisha maombi ya kitaifa kuiombea serikali iwe sikivu na elevu zaidi

    Tatizo la ajira za umma huanza taratibu na baadaye kuwa kubwa na sugu kabisa. Lakini hata hivyo, zipo njia sahihi za kufanywa na jamii ikiongozwa na serikali ili kukabiliana kikamilifu na tatizo hili. Tangu awamu ya 5 ya Utawala wa serikali,na hata awamu hii ya 6,tunaona suala la ajira kwa...
  17. S

    Nilichogundua kwa vijana wa Tanzania

    Habari wanaJf, straight to the agenda. Baada ya kutafakari mwenendo wa vijana wa Tanzania nimegundua kuwa wengi ni wavivu wa kufikiria na ili ndio linalofanya wengi kujazana Dar badala ya kupanua nchi na opportunities, nitasema kama taifa we are still behind kwenye fursa na mawazo kuna vingi vya...
  18. kavulata

    Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  19. Mema Tanzania

    Mema Magazine jarida lenye kulenga vijana

    Mema Tanzania Jumamosi ya tarehe 17 Aprili, 2020 tulizindua jarida la Mema Magazine toleo la kwanza linalofahamika #Tumesomeka likiwa katika programu maalumu ijulikanayo kama Sauti Huru. Jarida hili limesheheni maudhui yanayohusu masuala yafuatayo;- Afya na usawa na kijinsia Uraia na...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Naungana na Ndugai: Vijana wengi sio waaminifu, amesahau uvivu tu

    NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU Na, Robert Heriel Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo. Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
Back
Top Bottom