vigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Wenye vigezo hivi mnitafute pm

    Natafuta alosoma degree ya procurement (watu wawili) diploma ya secretary,na degree ya uhasibu mkoa wa Ruvuma ni pm chap!!!!!!."Tusome vizuri nilichokiandika.....mnao ni pm tuzingatie mkoa tajwa RUVUMA".
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mliokosa nafasi zoezi la Sensa 2022 msipotoshe. Tuliopata nafasi tuna sifa na vigezo. Hata kuwa na connection ni akili

    Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo. Kwa miaka...
  3. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huwa anatumia vigezo gani katika teuzi zake?

    Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika position ile ile! Sasa maswali ni je, huwa anazingatia Nini hasa katika teuzi za viongozi mbalimbali...
  5. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

    Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Rushwa ya ngono vyuoni inazalisha wataalam wasio na vigezo

    Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama huna "C" ya hesabu o-level na una ndoto za kusomea IT ni vema uende chuo ukimaliza form 4, Ukienda form 5 utakosa vigezo vya kusoma IT

    copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6 kuingia degree, katika moja ya vigezo walivyokaza ni kuhitaji aufaulu katika masomo ya hesabu ya form 6...
  8. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuchagua walimu kwenye ajira ni VIZURI MNO lakini havifuatwi KIKAMILIFU

    Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano. Vigezo hivyo ni: 1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza. 2. Waliohitimu mwaka mmoja...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama aiomba Serikali kuiongeza mtaji Benki ya Kilimo ili isaidie kilimo Nchini

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  11. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama huna Vigezo, hii Dunia utakuwa msindikizaji na kulialia!

    Kwema Wakuu! Kwa miaka michache niliyopata kuishi Duniani niliweza kugundua kuwa hii dunia ina vigezo na masharti vinavyozingatiwa, ukiwa huna Vigezo hivyo na Kama hutofuata masharti jua utaendelea kubaki kulialia na kuwa msindikizaji. Dunia inatisha Ila nilikuambia usiogope. Tangu nikiwa...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Wakuu habari, Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
  18. muu00

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye vigezo hivi ukuje plzz

    HABARI NAITWA MUU NAISHI KIGAMBONI NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA AWE MWENYE MWONEKANO MZURI NA UMBOZURI LAKUNIVUTIA AWE HAJAZAA KUANZIA UMRI WA MIAKA 18 MBAKA 32 MWEUSI AMA MWEUPE NISAWA AWE MUISLAM NA AWE TAYAR KUOLEWA SIITAJI MWANAMKE MUHUNI NIKO SERIOUS muqrim01@gmail.com
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujui wajibu wa Viongozi wetu, au tumeweka vigezo vya chini kuwapima

    Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili! Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
Back
Top Bottom