vigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujui wajibu wa Viongozi wetu, au tumeweka vigezo vya chini kuwapima

    Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili! Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  4. Jadda

    JamiiForums Tanzania Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?

    Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuupime weledi wa NDUGAI kwa vigezo viwili vifuatavyo:

    Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo: 1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya kupindukia ya fedha za umma? NB: Trilioni 1.5 aliyohoji Zitto nayo je? 2.Kama lengo ni uwazi wa mkopo...
  7. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

    Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani? Naomba msaada wenu wanajamvi
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari Carina ti yenye vigezo vifuatavyo

    Nahitaji Carina Ti ambayo Ni namba C au D Iwe haijawahi pata ajali -Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
  9. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

    Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno. Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

    Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumika kubainisha viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu

    Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa bidhaa mbalimbali na kupelekea wananchi kukosa huduma bora za kijamii. Katika Uchambuzi wa ripoti...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?

    Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Scholarship za Canada kwa wenye vigezo

    Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada ... Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada October 10, 2021 2.4kShares A Perfect Time to see Insight of Fully Funded...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Mtaani kuna graduates wengi sana wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
  18. faokipe

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni hatari tuendako kama hivi ndivyo vigezo vya kupata ajira serikalini

    Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa! Elimu Masters of science in Finance Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi) Umri 33 sina mtoto Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65 Uzito Kg 73. Kipato Monthly income 2300-3000$ natafta Mke wa Kuoa ambaye...
  20. Mkazamoyo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vigezo vya kupanga timu (standings)

    Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote zina game played 0 na point0? Niimeuliza hivi baada ya kuona msimamo wa ligi yetu kwa msimu mpya ujao...
Back
Top Bottom