Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

Vigezo ni vingi :
1. Uzalendo
2. Uadilifu
3. Nidhamu
4. Afya
5. Ufahamu wa historia na geographia ya nchi yetu

Ila hata uwe na hivyo vigezo hauwezi kuchagulia kama ukikosa kigezo cha "uchawa"
 
Back
Top Bottom