video

  1. JamiiForums Tanzania Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

  2. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa. Ni Simba Vs Red Arrows...
  3. JamiiForums Tanzania Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
  4. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  6. JamiiForums Tanzania Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hakika nimeuona Ukuu wa Mungu

    .
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

    Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe Tanzania yote hii hakuna?! ================================= Hadi leo hii Crane haijapatikana tu?!
  10. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
  11. J

    JamiiForums Tanzania Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

    Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli, <<<Hebu msikilize kwa makini>>>
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  13. JamiiForums Tanzania Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

    Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao. Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na...
  14. JamiiForums Tanzania Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

    Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
  15. JamiiForums Tanzania Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1

    Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC. AV1 ni format ambayo imekubaliwa kutumiwa na makampuni makubwa kama vile Amazon, Facebook, Google, Amazon...
  16. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mhindi alivyovamiwa na kuibiwa hela na lundo la vibaka kwenye Bodaboda Kampala Uganda mchana kweupe

    Mzuka wanajamvi! Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi million 5 tiuu za Uganda. Tukio hilo lilitokea mchana kweupe na lilinaswa na CCTV na polisi...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Video kutoka Benki zikionesha maboksi yenye fedha alizoomba Sabaya zawasilishwa Mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...

    Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

    Week hii zimevuja sex video za Msanii mkubwa Africans Nigerian singer Tiwasavage ,akiwa na boy friend wake. Hata hivo bado exactly ajajulikana nana kavujisha, licha ya video kurecordiwa na wao wenyewe. Baada ya kuleak video hizo blogs ,social network, fanpage zote zimekuwa zikimfariji star...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…