video

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tazama video za wana CHADEMA wakicheza kwa furaha huku wakisubiri kumpokea Rais

    Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi. Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusi wamzomea jenerali wao

    Wana hasira sana kwa ambavyo wanaendelea kuuawa na mpaka sasa haieleweki nini mipango ya nchi yao na nini haswa wanachofia...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Bashiru aliletwa CCM na Hayati Magufuli; Asilaumiwe kwa aliyotenda

    Kwenye video Hayati Magufuli anasema alimtoa Bashiru Ally CUF na kumleta CCM, hivyo basi wanaomlaumu Bashiru hawamtendei haki. Yeye siyo mwanachama wao. Magufuli aliharibu sana misingi ya CCM
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Unajifunza nini hapa kwenye video.

  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa uchaguzi uliotajwa kufanyika CCM, huu ndio mfano mmoja wapo (video)

    Hiki ndiyo kilichokuwa kikitokea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Simiyu ambao ulifanyika Alhamis ya wiki iliyopita, Novemba 17, 2022 Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi. --- Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

    Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaopenda kuwatukana na kuwadharau vijana wa Arusha angalieni hii video muaibike

    Mzuka Wanajamvi! Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia amesababisha nianze kurejesha imani yangu kwa wanasiasa

    Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu..... Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa walevi wanaotwangana ngumi hadharani ndio tegemeo la pro-Putin

    Hawa ndio mumekaa mkisubiri wafanye maajabu ya kuiteka Kyev....
  11. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

    Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Isije ikawa huyu ni member mwenzetu kafumaniwa huko Juba South Sudan

    Mzuka Wanajamvi! Hii video ni ya huko South Sudan. Na kuna member mwenzetu alisafiri huko. Cc mpwayungu village
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

    Hii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, Waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga. Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa sana.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
  18. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

    Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu. Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani. Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  20. Tindikali

    JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
Back
Top Bottom