video

  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Chupa zikirushwa baada mzee wa "Bugaa", kuingia mitini

    Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  4. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Huruma foleni ya mafuta London, tazama video hii ujionee.

    Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii. a
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi S-300 za Urusi zilivyopigwa na HIMARS

    Jameni ukizingatia gharama ya S-300 halafu zinapigwa kizembe hivi, hivi vita vimemuanika Mrusi vibaya sana, ameonekana udhaifu wake na kubakia na manyuklia tu. https://www.newsweek.com/ukraine-destroys-russian-battery-s-300-air-defense-systems-military-1727462 The Ukrainian military released a...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Video: Manara aomba radhi kwa Waziri na kusonya mwishoni

    Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya kwa wengine hata mswaki hayajui ni nini. Haya waziri umeombwa radhi kwa kupewa makavu siku ya...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Video: Yanga vs Al Ahly wakipigiana penalti baada ya Agreggate kulingana CAFCL 2014

    YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
  8. BONGO 3D

    JamiiForums Tanzania Video: 3d animation, tangazo la sensa nililotengeneza

    UKO TAYARI KUHESABIWA?SAMBAZA ANIMATION HII TAFADHALI
  9. N

    JamiiForums Tanzania Video: Haji Manara akijisifu kufifisha Yanga kujiona wakubwa

    Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Video: Jimmy Kindoki asema Manara alitakiwa kuwa jela

    Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa watalikingia kifua liendeleze matusi yake
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Januari tuwekee ushahidi wa video ya Kamati ya Bunge au Mbunge aliyekuita 'Mshenzi'

    Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue. Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI huyo akimaanisha wabunge na Kamati ya Bunge ya Nishati iliyohoji bungeni kuhusu kuchelewa kwa Mradi...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Urusi lachanganyikiwa na kurudi lilikofyatuliwa

    Hawa Warusi wamekua na commedies za ajabu, sijui wanatumia teknolojia gani hii ya hovyoo.... Kombora linarudisha salamu na kuua waliolifyatua. ===== A bizarre malfunction in mid-air lead to the rocket turning back on itself before pummelling the Russian troops who launched it in the city of...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Helo wana JF please keep me in ur prayers. I am flying to Dizonga

    Baada ya kuview status ( still picture) wewe na roho yako ya kwanini unaenda kuchinja kondoo mweusi kwa mganga ili kumroga rafiki yako Kumbe jamaa kajificha zake mitaa ya Chanika kwa mama Chid Benz. # If ur poor in real life it is ur govt problem but if ur poor on the internet then it is ur...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

    Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused. Country boy ana mnyanyasa mtoto wake. The " nigga wannabe guy" thinks Mikocheni B is the Bronx. Don't be surprised when this fool start to smoke some joint with the...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Kombe la ASFC waliloshinda yanga limeharibika

    Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika. Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Video: Upendo wa Senzo akimtuliza Manara akiipigania timu yake

    Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa statement ya klabu kupinga maamuzi yake, hawakumuunga hata mkono kwenye vita dhidi ya kitenge, Shafih...
  18. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Video ya dada wa Tanga ilivyonishangaza

    Wakuu habari za wakati huu Heri nyote humu. Moja kwa moja kwenye mada. Hiki ni kisa cha kweli wakati nimemaliza chuo nilianza mapambano ya maisha nilihama home mapema sana maana tayari nilikuwa na vitu vya kuanzia. Niliamua kuanza kulangua kuku tanga muheza naleta dar nauzia wafugaji yaani...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tazama video hizo: Is Diamond Platnum a crackhead?

    He demonstrates the look of a person whose aura has been ganked. # no hope for the future # Lord have mercy. Ukitazama choreography zake, it is either he is high or he is possessed. # something has to be done now now now. # bora Alubadiri ya mbayana kuliko Alubadiri ya kipakistani
  20. M

    JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

    Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo. Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake. Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu...
Back
Top Bottom