video

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

    Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuweka video ya mpaka masaa mawili Twitter

    Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, Sospeter Bajana kasinya Simba? Angalia video hii

    Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe:
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Meli ya Titanic: Mwonekano wa Video ya kwanza ya 3D tangu kuzama kwake

    Ajali hiyo maarufu zaidi ya Meli duniani imewekwa wazi na kueleza kuwa haijawahi kuonekana hapo awali. Uchanganuzi wa kwanza wa kidijitali wa ukubwa kamili wa Meli ya Titanic, ambao uko mita 3,800 (futi 12,500) chini ya Bahari ya Atlantic, umeundwa kwa kutumia ramani ya kina kirefu cha bahari...
  7. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video: mapinduzi ya unguja

  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

    Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns".... Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine. ===================== "We look like...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Ni ngumu kuitenga CCM na Vituo vya Radio na TV

    CCM inapendwa na kila mtu. Watangazaji , waandishi, wasa nii n.k Angalia hii video nambie nani haimbi?
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msijifanye hamjaiona video hii ya Nabii Tito

  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Video: Shekh Yusuf Diwani akiuchambua uongo wa Askofu gwajima

    Thread was deleted
  16. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  17. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Emaciated Rutto needs a rest from routine duties

    This weight loss is unprecedented, you might confuse Rutto with Mackenzie cult members who were starving in Shakaloa.
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  20. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

    Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
Back
Top Bottom