video

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vilivyo-expire ni vingi aisee, video zaidi zarekodiwa

    Huku tukiendelea na sekeseke la awali kuhusu vifaa vilivyoexpire, eebwana kuna hii nyingine. Sijui ni wapi.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
  3. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    Hii video inasambaa Sana. Kwani mhusika aliyepo hai video yake Ipo wapi?
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kijana hii video ikawe Motisha kwako tunapoianza 2023

    Nawasilisha, uzee mwisho chalinze na haswaa ukiwa na mabumba ya kufa mtu. weka akili vizuri mambo haya yanawezekana
  7. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  9. YinYang

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

    Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali". Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Video za kibongo uhalisia bado sana, Meja Kunta umechemka

    Iwe ni wewe ama director, mtu anaigizia kama Rubani halafu anavaa kofia ya Polisi?
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tunavyotoa msisitizo kwamba mbaki njia kuu ama kuchepuka kiakili muwe mnalewa, Huyu mwanamke karekodiwa akifanya limbwata

    Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize. Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Meja Kunta ameua sana kwenye hii video ya wimbo wa 'Demu wangu'

    Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video. Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video maana wambea walishaanza kuzua maneno yao ya ajabu ajabu huko mtaani Siiishi hamu kuitazama hi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

    Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watalii walalamikia huduma mbovu za Idara ya Uhamiaji KIA

    Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania. Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia sana! Mipakani kwa mfano unakuta Afisa hayupo dirishani na yupo pembeni akiperuzi simu yake huku...
Back
Top Bottom