video

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Fungulia mbwa uwanja wa B.Mkapa Siku ya Wananchi

    Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Video: Trafiki wa Bahi wanamtia doa Rais Samia, wachunguzwe

    Hawa maaskari kutoka Bahi wanakera sana, unalazimishaje kuingia kwenye gari ya mtu na kutaka kuchomoa funguo? Gari yenyewe hata kukukimbia haiwezi, gari ina mali za mamilioni ya wafanyabiashara. Rais kupitia kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, sisi madereva tunakuomba uunde timu ya uchunguzi...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
  4. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye mchakato wa kukusanya audio clips na video clips za hotuba za Hayati Magufuli

    Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli . Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana! Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania FID Q na Chinno Wanaman wanashoot Video ya Amapiano

    Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi Mgonjwa anayedaiwa kuvunja Maadili MOI amechukuliwa hatua gani kwa kuingilia Faragha ya mtu?

    Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Hii video ndiyo iliyomfanya Askofu Kakobe anyang'anywe passport?

    Jamaa ameumizwa sana kwasababu tu alitaja Tanganyika. Imagine, tangu enzi Wazanzibar wapo huru kujivunia Zanzibar na kupigania Zanzibar, wana serikali yao, bunge lao, lakini mtu wa Bara akitaja Tanganyika anachokutana nacho ni hatari tupu. Hutakiwi kujiita mtanganyika, ila wengine wajiite tu...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusu waunguzwa kwa makombora kama mkaa

    Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Video: Aina ya mateso, shuruba na mahangaiko tuyapatayo yote ni kwa ajili ya kuwasomesha wanenu

    Ndugu zetu wana mama, tuhurumieni wanaume wenu japo mtubakizie hiyo bandari jamani! Aina ya mateso, shuruba na mahangaiko tuyapatayo yote ni kwa ajili ya kuwasomesha wanenu ili waje wapate ujuzi na mbinu za kuendesha na kusimamia RASILIMALI zetu. Ya nini mnataka kuzitapanya RASILIMALI zetu wa...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Video: Tuweni makini usiku jamani

    Ingekuwa wewe ungefanyeje?
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto akiongea kuhusu kuwa na taasisi ya kiafrika ya kifedha mbele ya Rais wa Ufaransa

    Rais wa Kenya ndugu Ruto akimpa makavu bwana Emmanuel rais wa Ufaransa.
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Askari anayedaiwa kutembea na kete za bangi kubambikia watu

    Karibu kila Kijana Tanzania ana historia mbaya na chafu na askari wetu. Huyu alichukuliwa clip bila kujijua baada ya kumbambikia mtu kete za bange na kudai rushwa ya 2 mil na walipewa laki 6 wakamuachia mtuhumiwa. Mkasa kama unavyosimuliwa na mhanga Emmanuel Mwita Jana usiku maaskari wa...
  20. Zacht

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

Back
Top Bottom