Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

Teja Junior

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
1,737
1,594
Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano.

Ahsante
 
i5 ama i7 gen ya 8 ni rahisi kupata, naziona jiji i5 hapa kwa 450k, uta edit video kwa program zinazotumia Quicksync.

Then vuta pumzi baadae uvute lowend dedicated gpu.
Mkuu low profile GPU ipi ni nzuri, ambayo itafaa kwa PC mfano wa tajwa hapo juu.
 
mkuu low profile GPU ipi ni nzuri, ambayo itafaa kwa PC mfano wa tajwa hapo juu.
Mkuu kwenye gpu rendering kila kampuni inakuwa na Accelerators zake, Ya intel inaitwa Quicksync, Nvidia ni NvenC na Amd ana VCE.

Mara nyingi Nvidia anakuwa vizuri zaidi ila hio Quicksync ya intel ina value zaidi sababu unaipata kwenye machine yoyote yenye intel HD, sema nzuri zaidi ni kuanzia gen ya 11 ama gpu zao za Arc.

Hivyo kama unatumia Accelerators combo ya intel+Nvidia kwa budget ndogo ni nzuri.

Gpu nyingi za Nvidia zina Nvenc mpaka za zamani kama Gtx 750ti, sema zinatofautiana version mfano 750ti inakubali codecs za kizamani kama X264 ila codecs mpya kama Hevc/X265 na Av1 haikubali.

Sasa unaangalia mwenyewe matumizi kama unagota x264 gtx 750ti kupanda, kama unagota x265 ni gtx 1050ti kupanda na kama unataka Av1 basi hizi Rtx 40xx mpya zinapiga codecs zote.

Ila kama upo serious zaidi huwa best way ni kutumia Cpu, tafuta Ryzen ama Intel Gen 12 kupanda zenye core nyingi kadri iwezekanavyo.
 
Mkuu kwa budget zetu za kuunga unga RTx 40xx ni ndoto, nna mpango wa kufanya kama hapo juu, ninunue optiplex then niweke GPU, so hapo nimekua limited tayari make lazima iwe low profile ndo maana natafuta ya aina hiyo, so ambayo haita vunja budget ni ipi hapo mkuu.

NB: Njia yangu ya kununua ni AliExpress make najua hapa bongo ni kizungumkuti.
 
mkuu kwa budget zetu za kuunga unga RTx 40xx ni ndoto, nna mpango wa kufanya kama hapo juu, ninunue optiplex then niweke GPU, so hapo nimekua limited tayari make lazima iwe low profile ndo maana natafuta ya aina hiyo, so ambayo haita vunja budget ni ipi hapo mkuu.
NB: Njia yangu ya kununua ni AliExpress make najua hapa bongo ni kizungumkuti.
1050ti minimum maana X265 siku hizi zinatumika maeneo mengi.

Sema kuwa makini kuna 1050 ambazo sio low profile. Hakikisha unaikagua mara mbilimbili na unamuuliza seller
 
Mkuu kwenye gpu rendering kila kampuni inakuwa na Accelerators zake, Ya intel inaitwa Quicksync, Nvidia ni NvenC na Amd ana VCE.

Mara nyingi Nvidia anakuwa vizuri zaidi ila hio Quicksync ya intel ina value zaidi sababu unaipata kwenye machine yoyote yenye intel HD, sema nzuri zaidi ni kuanzia gen ya 11 ama gpu zao za Arc.

Hivyo kama unatumia Accelerators combo ya intel+Nvidia kwa budget ndogo ni nzuri.

Gpu nyingi za Nvidia zina Nvenc mpaka za zamani kama Gtx 750ti, sema zinatofautiana version mfano 750ti inakubali codecs za kizamani kama X264 ila codecs mpya kama Hevc/X265 na Av1 haikubali.

Sasa unaangalia mwenyewe matumizi kama unagota x264 gtx 750ti kupanda, kama unagota x265 ni gtx 1050ti kupanda na kama unataka Av1 basi hizi Rtx 40xx mpya zinapiga codecs zote.

Ila kama upo serious zaidi huwa best way ni kutumia Cpu, tafuta Ryzen ama Intel Gen 12 kupanda zenye core nyingi kadri iwezekanavyo.

Software zenye Quicksync ni zipi, NvenC na VCe ni zipi?
 
Njoo nikuuzie gaming pc. Full setup kwa M3.2
 
Attachments

  • IMG_20230119_135412895.jpg
    IMG_20230119_135412895.jpg
    950.7 KB · Views: 30
Yah sure. It's for sale. Inatumia Ryzen 7, 32GB DDR4 3200Mhz Ram, Nvidia GTX 1080 8GB Vram, SSD 1TB & SSD 256GB, LG 25inch wide monitor, Gaming keyboard & Gaming mouse
Haha nilikuwa curious tu sina shida na hayo ma game nimecheza sana tu. 😁😁😁😁

We kwann unaiuza sasa 😂😂😂
 
Daah kwaiyo umeona unijibu pumba poa tu 😏
Amna nimetolea mfano wa chakula ila process ni hiyo hiyo. Kuedit ni kama kumenya viazi ukimaliza unaweka kwenye karai unakaanga. Yaani unafanya rendering. Baada ya rendering unapata final product, chipsi yaani video au picha
 
Back
Top Bottom