Aisee video ya demu wangu Remix ya Meja na Marioo ni moto wa kuotea mbali

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,464
21,195
Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama.

Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mchumba anataka nini ,mchumba anataka helaaaa "

Natabiria kijana ataupeleka mbali sana huu muziki wa singeli ambao kwa namna moja au nyingine unazidi kupata mashabiki wa kila rika.

Hongera za kipekee zimfikie Meja na team yake nzima bila kumsahau director wa huu wimbo maana ameushoot kwa viwango bora kabisa.

Nimewasogezea link muende mukautazame Kisha mnipe majibu.
 
Sijajua neno 'BAHATI' siku hizi lina maana gani.

Kwenda tu YouTube kuangalia video ya Wimbo nayo ni Bahati? Au haijawa released bado?
Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama.

Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mtoto anataka Nini ,Mtoto anataka helaaaa "

Natabiria kijana ataupeleka mbali sana huu muziki wa singeli ambao kwa namna moja au nyingine unazidi kupata mashabiki wa kila rika.

Hongera za kipekee zimfikie Meja na team yake nzima bila kumsahau director wa huu wimbo maana ameushoot kwa viwango bora kabisa.

Nimewasogezea link muende mukautazame Kisha mnipe majibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom