Mzee ameanzisha mahusiano na 'jini' na anacheza na chanzo cha kifo chake. Sidhani kama atamaliza mwaka

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni.

imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina majini? Majini yenyewe ndio haya.

Hapa mzee anacheza na chanzo cha kifo chake. Kama masikhara huyu mzee ataenda kufa kwa presha halafu familia yake ihangaike, yeye pesa kapotezea hapa!

View attachment 2553601
Chifuuu ebu nipe mwongozo kwann unamwita jini???

Sent from my SM-A920F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiskia kiinua mgongo ndo hiki sasa

Sent from my SM-A920F using JamiiForums mobile app
 
mbona huyo kwenye video sio mzee! au umepagawa na mwili?
acha watu wainjoy maisha kwa pesa zao wenyewe usiwapingie matumizi

 halafu sio kwenye kila kitu mpaka uyataje hayo majini yako,nimesoma Title ila maelezo yako hayahusiani kabisa na hiyo title
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom