video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake kimbia Ndoa zenye usaliti

    Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki. "Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Masai arushwa kichura chura

    Mwanaume mmoja wa kabila la Kimasai ameonekana akirushwa kichura chura baada ya kuvamia shamba la watu. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  3. JamiiForums Tanzania Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
  5. JamiiForums Tanzania Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

    Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
  6. JamiiForums Tanzania Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

    Angalia hapa jinsi Waumini wanavyomwagiwa juisi zenye upako kutoka kwa Mchungaji. Nini maoni yako?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

    Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani. Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka. ANGALIA VIDEO HAPA Unahisi kijana huyu...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
  9. JamiiForums Tanzania Video ya utupu ya Drake yasambaa mitandaoni

    Rapa mkali na mwenye rekodi kedekede kwenye Muziki anaoufanya Drake, ameishtua Dunia baada ya video ya utupu inayodaiwa kuwa ni yake kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ulimwenguni. Video hiyo imezua maswali mengi, huku mashabiki wakitaka kujua ni nani hasa aliesambaza video hiyo mitandaoni...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Ukiona katanuka Vidole vya mguuni usioe

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa. Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole vilivyotanuka miguuni. ANGALI VIDEO HAPA Je ni kweli wanawake wenye Vidole vilivyotanuka wana matatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Angalia jinsi panga linavyodunda kwenye mwili wa mtu aliechanjwa madawa ya asili

    Kama ushawahi kusikia mtu amechanjwa madawa yanayozuia silaha kutomdhuru eg. Mapanga, risasi, visu n.k ANGALIA VIDEO HAPA
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Kinana kuhusu ruzuku, asema hawahongeki

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 ✍️ 📹 JamboTv
  13. JamiiForums Tanzania Video: Fatma Karume Adai Kuna Sustemic Failure Ndiyo Maana Wananchi Wanamfuata Makonda

    Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
  14. JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  15. JamiiForums Tanzania Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

    Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay. ANGALIA VIDEO HAPA Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza? Written by Mjanja M1 ✍️
  16. JamiiForums Tanzania Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

    Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM. ANGALIA VIDEO HAPA Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20. Written by Mjanja M1 ✍️
  17. JamiiForums Tanzania Video: Masai achukizwa na uonevu unaofanyika Zanzibar

    Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai. Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar". ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

    Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu. Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani. ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999. Written...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

    This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..." 2...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Magoli yote kwenye mechi ya Inter Miami Vs Al nassr

    Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…