Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM.

ANGALIA VIDEO HAPA

Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Walioanza kazi TBC 2004 wote wanafagiwa naona itakua hivyo sasa vijana vijana pashenu misuli mkazibe magepu hayo vijana msikae kizembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom