Video: Wanawake kimbia Ndoa zenye usaliti

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.

"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu mahusiano"- Cherry

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
View attachment 2899859

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Huyu cherry ndo nani ila kuwapa hawa vijana wadogo airtime za kijinga kwenye mitandao kunahatari sana.

Pengine hajui sababu ya misemo mingi ni kulinda familia unapochochoa wanandoa kuachana athari kubwa ni kwa watoto na wanawake.

Ingependeza km angepewa airtime km angekuwa anatoa solutions ya kukabiliana na changamoto za ndoa bila kuathiri familia.

Mwisho mwambieni nazi haishindani na jiwe hata siku moja itavunjika!
 
Hapo usaliti ni gia tu. Kinachokuwa imparted kichwa mwa wanawake wengi ni kwamba wasivumilie misukosuko ya ndoa. Wavunje ndoa bila kujali madhara yake
 
Jamii imebebeshwa mentaliti ya kipuuzi Sana ya kuona jinsia Me ndio inastahili kuteseka/ kuteswa kihisia ikitokea upande wa pili shtuma kibao za kuonewa na mbaya zaidi wamekwenda mbali Hadi kwenye Sheria wamepewa vipaumbele usipo kaa kitaalamu Mtoto wa kiume kwenye huu ulimwengu wa sasa unayavaa unapoteza/kupotezwa na hii jinsia Ke,,###Ishi nao kwa akili imekaa kimafumbo zaidd##inawezekana wao wanazo nyingi zaidi yetu au Sisi tunazo zaidi yao huo uwezo wa akili and Vice versa.
 
Hapo usaliti ni gia tu. Kinachokuwa imparted kichwa mwa wanawake wengi ni kwamba wasivumilie misukosuko ya ndoa. Wavunje ndoa bila kujali madhara yake
Hii ndio hoja ya Bi Cherry na kaitoa saloon kwa desperate singels
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanaangalia maokoto tu. Wewe lala huko huko,,, njoo asubuhi atavumilia maana unamuachia maokoto. Siku ukifulia ndo utajua hujui anakimbia mazima. Tutafute hela tu!!
 
Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.

"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu mahusiano"- Cherry

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2899859

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Hongera yake aisee.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Back
Top Bottom