video

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka. === Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

    Habari zenu! Hivi unit moja ya maji ni sawa na ndoo ngapi za maji? Na bei ya unit moja ni shngap? Nisaidieni nahisi napigwa huku na mwenye nyumba.
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni yapi hasa matumizi ya video za ngono kiasi kwamba mtu anatumia mpaka gharama kuyatafuta?

    Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono. Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi kwamba mtu yupo tayari ajiunge bando la internet hata mara tano kwa siku ili tu aone maudhui hayo...
  4. Kaveli

    JamiiForums Tanzania Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

    Wanaukumbi. ⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
  7. kidonto

    JamiiForums Tanzania Nauza Taa za Video Production

    Habari.....! Nauza Taa za Video Production, 8 tube led light. Dukani utaipata kuanzia 300,000. Mimi nakupatia hii kwa 170,000. 0686279540 Dar es salaam.
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    -- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa -- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa -- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa...
  9. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  11. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  12. vibertz

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa video hii ni wazi Yanga ilinyimwa goli hapo jana

    Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

    wadau lengo nimejishangaa nimejikuta namwaga chozi baada ya kumuona azizi Ki alipokuwa anatoka uwanjani.
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: Professional massage, ni balaa!

  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mwizi kapatikana

    Wazungu wanasema "Mission Failed".
  17. Nehemia Frank

    JamiiForums Tanzania Nafanya Graphics Designing and Video Editing karibu!

    Karibu Tunahusika na utengenezaji wa *Mabango *vipeperushi *kadi za namba za simu *Makava ya nyimbo *Kadi za mialiko za kisasa Njoo whatsapp Nehemix tz
  18. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

    MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure. ..... Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
  19. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  20. runtown

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
Back
Top Bottom