Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.

ANGALIA VIDEO HAPA


Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Kwamba mzungu akikosea kiswahili ni sawa ila mswahili akigonga broken ni nongwa.
Ok
Nimependa huo ushauri wake, kama una mistari yako ya kiengereza mtafute japo ras simba aifanyie uhakiki kabla hujaiachia mbele ya hadhira
 
Back
Top Bottom