viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ilapfasha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Adhabu za viboko na athari zake

    Ni kwa muda sasa adhabu za viboko zimekuwa zikitumika mashuleni kama njia ya kuwa-adabisha wanafunzi, huku ikiaminika kuwa kupitia kuwa adhibu watoto kwa kuwachapa fimbo husaidia kuongeza utii mashuleni hali inayofanya makosa ya utovu wa nidhamu kupungua na kuongezeka kwa nidhamu darasani. Jambo...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mchina aliyerekodiwa akimpiga mfanyakazi aliyefungwa kwenye mti ahukumiwa kifungo cha miaka 20

    Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021 Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  7. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, viboko hujenga au hubomoa?

    Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au chochote kilichokuwa karibu yake. Lakini je tulishachukua muda na kujiuliza hivi hivi viboko tunavyowachapa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64. Tanzania inang'ara kwa kutozuia viboko

    Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64! Watoto milioni 246 bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa & kunyanyaswa kimwili 50% huripoti vurugu kutoka kwa wenzi wao shuleni. =========== Corporal punishment is a practice that remains...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu aliye na mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko shuleni kwa mujibu wa Sheria?

    Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum. Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kama ulichapwa viboko na kiongozi ruksa kushtaki

    Kama viongozi wa umma waliowatandika watu viboko hadharani wanadhani suala hilo limeisha au kusahaulika, bila shaka watakuwa wanajidanganya. Hii ni baada ya suala hilo kuibuka juzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Wakili Mwandamizi Anthony Nasimire aliyezungumza kwa niaba...
  13. Champion_Boy

    JamiiForums Tanzania Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

    Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nikimjua aliyesababisha na kutoa amri ya kupigwa viboko nakufa nae

    Yaani siombi ije kutokea ,lakini ikiwa kiongozi yeyote yule halafu nimjua kuwa yeye ndio ametoa amri ya nichapwe viboko hadharani,nakufa nae hadharani na ulimwengu utasikia ,huu udhalilishaji umepitwa na wakati. Kwa kuwa tu umekuwa na cheo sasa unathubutu kuchapa watu bakora,kama ni kujitoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

    Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni. Binafsi naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

    Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ninyi viongozi wa umma mnaochapa watu viboko mnawachapa kwa mamlaka gani?

    Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu? Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani? Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili ubaguzi; Kwanini viongozi wakubwa wanaoibia Taifa letu awachapwi viboko adharani mbele ya camera?

    Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo mwendo wa viboko tu, panazidi kunoga, huyu naye mwingine

    Halafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko. https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
Back
Top Bottom