Nakumbuka wakati nasoma ,Kuna wanafunzi walikua Wana Uwezo wa kawaida , wengine kupuuza tu mambo Kwa kiburi n.k, Walimu walisimama kidete, Umepewa Kazi hujafanya Makusudi ,Bakoraa !! umepewa Kazi umekosa zaidi ya Nusu ,bakoraaa .. Mimi mwenyewe niliwah Chapwa bakora Kwa sababu ya Mwandiko...
Suala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana, pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe...
Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi.
Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi.
Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi.
Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe.
Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki mkoani humo kuhakikisha wanafufua shauri la wazee waliochapwa viboko kwa tuhuma za kishirikina, ili...
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.
Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na...
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha.
Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji.
Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
Adhabu ni kuchagua!
Tunajaza wafungwa wa bure magerezani!
Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani.
IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya...
Amos Nyang'waji (25), Mkazi wa Kijiji cha Matui Wilayani Kiteto Mkoani Manyara amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la kumcharaza viboko Karani wa Sensa na kuharibu kishikwambi chake wakati akitekeleza majukumu yake mnamo Agosti 25, 2022.
Imeelezwa mtuhumiwa akiwa nyumbani kwa...
Hoja ya kutowacharaza watoto na hata wanafunzi mashuleni sio mpya, lakini je ni upi unaweza kuwa mbadala?!
Nimejaribu kuwashirikisha njia mbadala niliyojifunza mahali fulani.
Adhabu ya viboko ni ya muda mrefu sana duniani, ni ya karne na karne. Ikikita mizizi zaidi katika bara letu la Afrika...
Ni kwa muda sasa adhabu za viboko zimekuwa zikitumika mashuleni kama njia ya kuwa-adabisha wanafunzi, huku ikiaminika kuwa kupitia kuwa adhibu watoto kwa kuwachapa fimbo husaidia kuongeza utii mashuleni hali inayofanya makosa ya utovu wa nidhamu kupungua na kuongezeka kwa nidhamu darasani. Jambo...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi?
Ni umri upi wa kuacha kumtandika?
Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza?
Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi?
Idadi ya viboko?
Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.