viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi "vetting" hufanyika kweli kabla ya uteuzi wa viongozi? msikilize Kenani Kihongosi akitetea kitendo chake cha kucharaza viboko watu...

    Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive, lakini sijawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!! Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi...
  2. Sajo

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Yaani hadi raha, mwendo wa hukumu hapo kwa hapo...viboko... Watanzania hunikumbusha mbali sana..dah!
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini hizi shule za English medium wanafunzi hawachapwi viboko?

    Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?
  5. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko?

    Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko? Naomba kuelimishwa kwa nini unadhani ndio au siyo.
Back
Top Bottom