Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na Mazima.
ANGALIZO
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na...
Wasalaam,
Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union
Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
Wakuu,
Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing).
Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya...
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja.
Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini.
Miaka...
Good night
Kuna baadhi ya member humu mnatukana watu vibaya mno ukija kufwatilia Pole pole unakuta mtu anae kutukana au anae mtukana mwezie ni wakumuonea huruma sana hajui pesa inavyo tafutwa wembe tu wa kunyolea kwapa anaomba kwa mama au anasubiri atumwe dukani abanie chenji ndio asafishe...
Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024.
Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam.
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
Kwema Wakuu!
Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Rais kama kakosea...
Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu.
Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu!
Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!
Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!
Nyaya zimeshagusana, moto...
Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu.
Musukuma pia ameongelea Maliasili kukamata ng'ombe za wafugaji akidai anashangazwa baada ya minada kufanyika wahusika nao wanaanza...
Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli.
Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa.
What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe...
Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli.
Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali.
Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi.
Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena?
Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.