vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

    Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho! Mkiambiwa hamna akili mnanuna!
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike) In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu Village, kuwasema vibaya walimu na kuwatukana hakusaidii kuboresha maisha yao. Toa solution wafanye nini ili wafanikiwe?

    Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote. Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
  7. blogger

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

    Terrible fall.
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini. Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
  9. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

    M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.🤣🤣
  10. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kusema kuna watu wanamshauri vibaya Rais au wanampotosha Rais ni kumtukana Rais

    Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!? Wengi wanafikiri...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais. ========== WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

    If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!. Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni yenu uchwara ya "Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli". Wanaume mmekua wa hovyo sana, mmetanguliza upole...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania CDM mkija na sera ya kufunga mipaka ili bei ya chakula ishuke mtapotea vibaya sana

    Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana. Sasa...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

    Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya. Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi? Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi? Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

    Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
  19. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Back
Top Bottom