Watembea kwa miguu acheni kujivuta kwenye zebra madereva sio malaika, mengi yanaweza kwenda vibaya

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Wakuu,

Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing).

Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda vibaya, mtu anaweza akawa na dharura anawahi mahala fulani kuna tatizo, chombo kinaweza kufeli breki, mtu anaweza akatoka resi huko stress zimempiga hajaona mtu akaondoka na wewe, bodaboda na bajaji inaweza kuchomoka huko ikakuvaa na kadhalika.

Sasa kuna wenzangu na mimi, akiwa kwenye zebra anaona huu ndio muda wake wa kutamba, muda wa kukomoa wenye magari, kuonesha machejo, kutembea kama mlimbwende, yaani kama vile malaika amesimamisha/atasimamisha vyombo vyote ili yeye apite, my friend endelea na huu mchezo ipo siku yatakukuta.

Kuwa makini wakati wote unapokuwa barabarani, lakini pia acha hizi tabia za kijivuta na kudhani kwamba muda wote madereva watakuwa 100% sawa.
 
pindi nasoma shule pale kwenye zebra ndo pakukazia kamba za viatu vyangu na mkanda
 
Acha kibri brother Ndo maaana zikawekwa Sheria Kwa watu wenye roho mbaya kama ninyi na msio na utu ..yaani ht mtu atambae kiasi Gani hawezi fikisha seku de 30 hajavuka ,sema madereva wa Kitanzania wengi utu zero kabisaa Sio Zebra au kungine tunajiona tuna haraka mnoo,ikitokea kufeli Kwa chombo hyo no bahati mbaya hata km Sio Zebra itafeli tu..
Zingatia sheria Ndugu gari hyo hyo ukifika nyumbani unaacha nje afu unaingiza ndani na viatu vya elf 30 au ndala za elf2
 
Tii sheria bila shuruti zebra wanavuka watu, kuna watoto wazee wagonjwa na kadhalika.
Ukiachana na makundi hayo na watu wanaotii sheria kuna kundi jingine ambalo shida wawapo kwenye zebra, hazingatii sheria anajivukia kama hana kichwa....lengo sio kuwatetea madereva ila kuwa makini uwapo kwenye zebra sababu madereva wanaweza kukosea pia, umakini wako unaweza kukuepusha na mengi
 
Inaonekana sheria za barabara huzijui vizuri.
Sejasema watu wasifate sheria, bali waongeze umakini, na wasijipe 100% kuwa kila kitu kipo sawa na dereva atasimama kila unapoweka mguu kwenye zebra hata kama hujachukua tahadhari yoyote
 
Wakuu,

Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing).

Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda vibaya, mtu anaweza akawa na dharura anawahi mahala fulani kuna tatizo, chombo kinaweza kufeli breki, mtu anaweza akatoka resi huko stress zimempiga hajaona mtu akaondoka na wewe, bodaboda na bajaji inaweza kuchomoka huko ikakuvaa na kadhalika.

Sasa kuna wenzangu na mimi, akiwa kwenye zebra anaona huu ndio muda wake wa kutamba, muda wa kukomoa wenye magari, kuonesha machejo, kutembea kama mlimbwende, yaani kama vile malaika amesimamisha/atasimamisha vyombo vyote ili yeye apite, my friend endelea na huu mchezo ipo siku yatakukuta.

Kuwa makini wakati wote unapokuwa barabarani, lakini pia acha hizi tabia za kijivuta na kudhani kwamba muda wote madereva watakuwa 100% sawa.
Gonga tu shenzi hao
 
Acha kibri brother Ndo maaana zikawekwa Sheria Kwa watu wenye roho mbaya kama ninyi na msio na utu ..yaani ht mtu atambae kiasi Gani hawezi fikisha seku de 30 hajavuka ,sema madereva wa Kitanzania wengi utu zero kabisaa Sio Zebra au kungine tunajiona tuna haraka mnoo,ikitokea kufeli Kwa chombo hyo no bahati mbaya hata km Sio Zebra itafeli tu..
Zingatia sheria Ndugu gari hyo hyo ukifika nyumbani unaacha nje afu unaingiza ndani na viatu vya elf 30 au ndala za elf2
Sijasema watu wasifate sheria, nimesema watembea kwa miguu waongeze umakini na kuacha kujivuta, wengi wakiwa kwenye zebra hawazingatii sheria kwakuwa tu amefika kwenye zebra, lakini pia umakini utakuepusha na madereva wavuta bangi... kuwa makini zaidi kunaongeza na usalama wako pia
 
Back
Top Bottom