Nina uzoefu wa kazi za usekretari, natafuta Ajira

Munirah seiph

Member
Aug 14, 2017
88
90
Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na Kufanya katika Stationary 2 Pamoja na Cyber

Nipo Dar es salaam Tabata
 
Miaka 26 umeshafanya kazi sehemu nne.

Tatizo ni wewe au hao waajiri wako?

Unapofanya kazi sehemu flan especially kwa mtu binafs na akaanza kukuchukulia kama ndugu basi yale makubaliano yenu huwa yanapotea na kuwa kama mwanafamilia wa ile sehemu mara zote kwa jins tunavyokuwa tunaishi katika kazi huwa wanahsi kwamba najitoa kama mwanafamilia wanajisahau kwenye swala la mshahara na hiko ndo kinanifanya nishindwe kuendelea sasa sijui hapo tatizo ni mimi au waajiri wangu
 
IMG_5071.png
 
Hayo ni mambo ya mapenzi uwe muwazi
 
Natafuta graphic designer mshahara makubaliano ila awe competent,dada ungekuwa unajua GRAPHIC DESIGN ningekuchukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom