Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interview

Burungutu lebba

Senior Member
Jul 31, 2012
168
160
Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo…

Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited kufanya kwa hao tu so naeza tafuta wengine swala no he Kuna tasisi yoyote inayotoa cognitive test pamoja na ku reward Chet just for foew amount of money au for free kabisa
 
Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya ngo inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo...Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited kufanya kwa hao tu so naeza tafuta wengine swala no he Kuna tasisi yoyote inayotoa cognitive test pamoja na ku reward Chet just for foew amount of money au for free kabisa
Matapeli at work.
Run.
Hao ni kina nani? Africovid? Au African Child Internation?
 
Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo…

Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited kufanya kwa hao tu so naeza tafuta wengine swala no he Kuna tasisi yoyote inayotoa cognitive test pamoja na ku reward Chet just for foew amount of money au for free kabisa
Ulipata?
 
Matapeli usitoe hela yoyote kabla hujaajiriwa cheti cha kulipia cha nini hicho?
 
Job Scam Alert .!

Never pay money in a recruitment process hawa ni matapeli

Na email zao ndo kama hivi

Thank you for showing interest in working with us. We are writing to inform you that after reviewing your resumes and credentials, you have been shortlisted for the above reference in our organization. This position is offered subject to satisfactory reference and pre - employment checks and completion of the two-staged interview period after which your full time appointment will be confirmed.

The first stage interview process involves the submission of a Certified Cognitive Report(CCR) evaluated by accredited international invigilator. We know it is not easy to get internationally accredited CCR invigilator. Kindly go ahead and obtain your certification from but not limited to the below.

1. Tecjo Ltd: https://tecjoltd.com

2. Cloud HR Consultants: https://cloudhrconsultants.com

Attached please find enclosed new staff entry assessment form, fill it accurately and honestly and return together with the Certifified Cognitive Report on or before end of day Friday 19th Novembver 2021, since we need to fill this position urgently.

We are all looking forward to working with you and hope you will soon feel part of the team. If you have any questions, please contact me,

Yours Faithfully,

Dolf Kimberly,
Executive Human Resource Manager,

Tel: +2755593997 | Mobile: +279559456787 | Fax: +2755593117
Email: jkimbely@focusafrica.org | admin@focusafrica.org
Corner Allandale and Bekker Road | Greenstone Hill, 1779 | Johannesburg, South Africa.
FOCUS AFRICA INC. | www.focusafrica.org
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom