Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,016
2,592
Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku.
Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA.

Ila practical bado siko vizuri hasa katika kumonitor CCTV camera kwenye control room nilikuwa naomba kama Kuna watu au organization ambayo naweza pata uzoefu wa hii skill muhimu zaidi ili niwe competent kwenye hii field.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom