uzinduzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia Usuli Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Ibada hiyo...
  3. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi utaleta maendeleo

    Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi Jijini Mwanza viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B ambapo mgeni rasmi ni Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi Mhe. Anne Semamba Makinda.
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

    Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

    Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Hoteli ya Gran Melia jijini Arusha

    Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten. Karibuni sana. ===== Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa ya nyota tano Gran Melia Arusha, huku akialika wawekezaji zaidi kwenye sekta ya Utalii nchini...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kitabu ''Mwanamke Mwanamapinduzi''

    UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki: Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
  8. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo azindua mradi wa usalama barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Amend kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke...
  9. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, uzinduzi wa miradi isiyokamilika

    Maana ya uzinduzi ni pale mradi unapoanza au pale ulipokamilika. Ni aibu Rais kufunga safari kwenda kufanya uzinduzi wa maji ya bilioni 17 Longido halafu unasema kufikia Januari 2022 mtapata maji, kwanini usisubiri Januari ifike ukazindue kitu kilichokamilika? Huo mradi wa Arusha wa bilioni...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Manchester City imezindua sanamu za Vincent Kompany na David Silva Etihad stadium

    Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo. Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.
  12. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

    Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021 WAKA Wananchi&Katiba Dar es salaam., Tanzania 9 JUL 2021 — Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UZINDUZI: Juzuu la ‘Rai ya Jenerali’ - Agosti 6, 2021

    Juzuu hii ina makala moto na ngumu zinazohusu mambo makubwa yaliyowahi kufanyika nchini na ambayo hakuna Mwandishi yeyote aliyewahi kuthubutu kuyasimulia. Ni shuhuda za mwandishi wa habari mahiri katika bara la Afrika anayeheshimika duniani pote akisimulia mambo makubwa yaliyofanyika katika...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa UVCCM Taifa azindua Vijana Jogging club aliyoianzisha mkoani Dodoma

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI DODOMA. Amelekeza Mikoa yote kuwa na Vikundi Vya JOGGING VYA VIJANA lengo ikiwa kulinda afya pamoja na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

    Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Manyara: Waziri mkuu Azindua kituo cha Tanzanite Magufuli. Astaajabishwa na Kazi kubwa iliyofanyika Ukuta wa Mirerani

    Leo waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anazindua kituo cha Tanzanite Mirerani mkoa wa Manyara, kuwa nami... ======= Waziri Mkuu: Nimekuja na salam zenu kutoka kwa mheshimiwa Rais, mama Samia Suluhu anawasalimia sana wana Mererani, pia makamu wa Rais. Viongozi wetu wanawatakia mafanikio...
Back
Top Bottom