Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi.
Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history), mapungufu (weaknesses) na mazuri (strengths) ya mabunge ya nchi zote mama za Afrika Mashariki i.e Kenya...
Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo
Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo.
Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma
Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26.
Wakati...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo kila mtu bila kujali vyama alilifatilia mwanzo mwisho.
Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha hayati mzee...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?
#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on...
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Source: ZBC
Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1.
Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020.
Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa
Nafuatilia.
Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam...
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.
Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi
Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee
Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili
Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.