Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi utaleta maendeleo

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
866
939
Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi Jijini Mwanza viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B ambapo mgeni rasmi ni Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi Mhe. Anne Semamba Makinda.

IMG_20211203_123545_522.jpg


View attachment 2031347View attachment 2031346
 
Maendeleo yataletwa na:

1. Elimu nzuri itakayowafanya watanzania wajue raslimali tulizonazo na njia ya kubadilisha raslimali hizo ziweze kutoa ajira, na kuleta mapato- "changing the potentials into tangible assets"
2. Kuacha tabia za udokozi au wizi
3. Kuacha uvivu na kujituma kwa kila tufanyacho
4. Kuwa na national pride
5. Kuwa exposed na kujua dunia inataka nini
6. Anuani za makazi ni kitu kitakachosaidia kuharakisha maendeleo ikiwa yote hapo juu yatafanyiwa kazi barabara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom