uzazi wa mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mwanaume wa Shoka: Aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya Geita afariki na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10

    Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10. Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

    Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii. Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora). Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za uzazi wa mpango kwa jinsia isiyo sahihi (contraceptives for wrong gender)

    Uwajibikaji wa uzazi wa Mpango umeweka mzigo usio sawa kwa wanawake, licha ya ukweli wa kibaolojia kwamba wanaume wana uwezo wa kumfanya mwanamke apate ujauzito. Wanawake huzalisha idadi ndogo ya mayai kwa mwezi, (kwa kawaida moja) wakati wanaume hutoa mamilioni ya manii(Shahawa) kwa kufanya...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Je, ni upi mwitikio wa jamii ya kitanzania katika dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume?

    Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala unaoendelea kuhusu dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume, ambayo inaonekana kupokelewa na pande mbili...
  5. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

    Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine. Ukienda Rwanda wanaitwa Twa, Wengine wapo cameroon Drc, zambia nk Au hanahujumiwa
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mbeya, Kagera, Mtwara ina kiwango cha chini cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania

    Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024 Vipandikizi - 38.3% Sindano - 23.1% Vidonge - 11.3% Njia za Asili - 11.1% Kondomu - 10.4% Vitanzi - 4.6% Kufunga Kizazi - 0.4% Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania Mara -...
  7. Mahanila

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango na Malezi

    Hello Habari ya uzima na poleni kwa majukumu ya hapa pale. Naombeni kujua jambo kuhusu uzazi nk. Mwanamke akitoka kujifungua kwa operation, baada ya siku arobaini, je, akikutana na mumewe Inanasa nyingine au mpaka atumie kinga? Wakati huo yuko na zaidi ya siku 56+, na uchafu (damu - mabonge)...
  8. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

    Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote. Pia soma: Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods) Sasa majuzi tena...
  10. Baba Mtu

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Habari wanaJF, Nimeleta kwenu bandiko lako ili tuweze kujadili njia mbalimbali za asili za kupanga uzazi. Tujadili... 2. Uzazi wa Mpango: Jinsi ya kutumia Majivu kuzuia mimba 3. Matumizi ya mbegu za Mnyonyo kupanga uzazi 4. Mwanaume kumwaga nje ya uke ( Pull Out Method )
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi

    Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba. Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana. Afisa mkuu wa wizara...
  12. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

    Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam. Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
  14. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango

    Uzazi wa mpango ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la kufikia malengo ya uzazi wa mpango kutokana na ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji. Serikali inahitaji kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Njombe, Kilimanjaro vinara kutumia uzazi wa mpango

    Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro na Mbeya inaongoza kwa matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake walioolewa, wastani wa wanawake watatu kati ya watano wanatumia njia hizo. Dar es Salaam. Ripoti ya ‘Utafiti wa Afya, Viashiria na Malaria’ wa mwaka 2022 uliofanywa na Wizara ya Afya kwa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanga: Idadi ya Wanawake waliopata huduma ya uzazi wa mpango kwa njia ya kisasa imepanda kutoka 40% hadi 59% Muheza

    Elimu inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imechangia kupunguza idadi ya mimba za chini ya umri wa miaka 19 (mimba za utotoni). Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Mratibu wa Afya ya Mzazi na Mtoto Wilaya ya Muheza, Angelina Sengwaji anaeleza kuwa...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Matumizi ya Muda mrefu ya Dawa za uzazi wa Mpango husababisha kuzaa watoto wa Kiume wenye homoni za Kike

    Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
Back
Top Bottom