uzazi wa mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango: Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kutupangia idadi ya watoto

    Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa serikali kutupangia idadi ya watoto na siyo kuzaana zaana tu, tukiendelea na tabia hii, nchi itashishwa kujiendeleza na kufanya kazi ya kujenga mashule na mazahanati, lazima kuwe na limit, ili pesa inayopatikana ikafanye maendeleo mengine.
  2. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango ni lazima

    Heshima kwenu wanajamvi, Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi. Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mara mseme hatuna nguvu za kiume, mara tuache kuzaa sana - tushike lipi sasa?

    Kuzaliwa mwanaume kweli mateso. Yaani wanatafuta sababu ili watutukane mara hatuna nguvu za kiume, ooohh tunatumia pweza mara vumbi la kongo. Tunaomba mtueleze ina maana mkitundikwa mimba nalo ni kosa? Huu ni unyanyasaji mnajua kazi ya maziwa mgando, karanga mbichi, sato, sangara, na ugali wa...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango ni suluhu ya matatizo mengi ikiwemo umachinga uliokithiri

    Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali. Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
  10. MissRaya

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

    Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥 Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika uzazi wa mpango ni sahihi kwetu? Kama ndio/hapana kwanini?

    Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni. Tujikite zaidi kwenye haya. Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
  12. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

    Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta...
  13. Grena

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hakuna uzazi wa mpango wa wanaume?

    Habari zenu wakuu, Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23] Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30, anawatoto wanne kila mmoja na Mama yake, Ukipiga nae story atakwambia jinsi gani anajuta kuwa na Watoto...
Back
Top Bottom