Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Caeser

Member
Apr 11, 2017
31
65
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
 
Siku Moja nikiwa natafta ID yangu , nilikutana na Ped ya Mrs iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumban,nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya nikuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote sasa majuzi tena nmekuta ameweka nyingine ,nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sjamwambia Chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sjamwambia
unaulizaje maswali ya kinyaa wakati wa lunch? ungesubiri jioni mkuu hahahhaha
btw huyo mchafu tu hakuna uchawi hapo
 
Namm nilikuwa nadhan hivyo lakini sasa ,kwann iwe Moja tu.
Kuna Moja hiyo ilikuwa Ina zaidi ya Miezi Mitatu maana ilikuwa ishakauka
Ni kujisahau tu mkuu, Hakuna kitu kibaya... Mwambie awe anaweka kwenye kifungashio kimoja sio kuweka kila mahali ndio maana nyingine zinasahaulika.. Na soon akimaliza mzunguko azichome zote Kwa pamoja.
Mimi huwaga nazihesabu kabisa ili nijihakikishie Hakuna ambayo nimesahau
 
Ahsante kwa Ushauri wako Mkuu .

Maana hawa ndugu zetu wana mambo mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom