uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Umeme Kuongeza Uzalishaji wa Madini Mkoa wa Katavi

    UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

    Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika Amesema “Mahitaji...
  3. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bei nafuu ya uniti za umeme itaongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa taifa letu

    Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo; 1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo. Umeme husaidia sana kuendesha viwanda hivyo gharama zikiwa kubwa ata bidhaa zitauzwa kwa bei kubwa na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China kuendeleza nguvu bora mpya za uzalishaji kutanufaisha Afrika

    Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho. Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika. Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari za kiafya na kiuchumi zitokanazo na bidhaa zitakanazo na zao la tumbaku ni nyingi kuliko faida za uzalishaji; tunahitaji sera mpya kwenye hili

    Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

    RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira kwa wivu...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vya kufanya vya uzalishaji ili usiboreke kukaa kwenye ofisi isiyo na schedule

    Niliwahi kusikia baadhi ya watumishi katika taasisi au mashirika fulani fulani hawana cha kufanya ofisini ni kama kula tu mshahara wa Bure na kula umeme tu wa serikali. Kama ni mtu mzima anayekaribia kustaafu Sawa maana alitumika amechoka acha akakae tu ofisini apulizwe feni na AC, anywe Chai...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania Wanaunga Mkono Mikakati ya Kupunguza Uzalishaji wa Methane Kushughulikia Mabadiliko ya Hali ya Hewa

    Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ongezeko la uzalishaji wa ulanzi wawaibua Madiwani kuomba Kondom kusambazwa vilabuni

    ONGEZEKO la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza pombe hiyo kuongezwa. Madiwani hao wameiomba kamati ya...
  14. ward41

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

    Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba. Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia. Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema vikundi 102 vya Wanawake vyenye wanufaika 875...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ziara ya Dkt. Biteko Mkoani Mtwara yasababisha mitambo ya Umeme iliyosimama kuanza uzalishaji

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo mitambo ya umeme ambayo ilikuwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania From the Horse's Mouth: Mabwawa yote ya Umeme hayajajaa Maji na muda wowote Viwanda vifafunga Uzalishaji

    Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi ) Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Konyagi Feki zaivuruga TBL, yapunguza uzalishaji

    Tanzania Breweries Limited (TBL) has significantly decreased production of Konyagi, one of the most popular spirits in the country, following a sharp decline in demand due to the ploriferation of illicit alcohol. According to government data, Konyagi output plunged from 33.287 million litres in...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Ludewa Asisitiza Uzalishaji Mali Gereza la Ludewa

    DC LUDEWA ASISITIZA UZALISHAJI MALI GEREZA LA LUDEWA. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa - Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa. Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema “Gereza hili lipo chini ya Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA) - likizalisha Wastani...
Back
Top Bottom