Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake .
Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi kwa Wachina,
YeboYebo na makobazi yanayouzwa kama njugu barabarani hayatengenezwi Dar es Salaam...
Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani
USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana.
Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani.
Ukijumlisha na...
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.
Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.
Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza.
Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
Wanabodi,
Kupokea na kuuza nje bidhaa mbalimbali ni jambo la muhimu na la kawaida katika nchi yoyote. Kulingana na uhitaji wa bidhaa mbali mbali au mahusiano kati ya nchi moja na zingine, bidhaa huingizwa kukidhi mahitaji haya au huuzwa nje ya nchi kuiingizia serikali na makampuni husika...
Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati uzalishaji ni Lita Milioni 79 sawa na Asilimia 52.
Amesema Serikali ina mpango wa kuongeza visima maeneo...
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, na wawekezaji ili kuleta mageuzi ya haraka katika tasnia hiyo ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu za pamoja za utafiki...
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA
-Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*,
-Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria
-Mgodi una wastani wa Wakia 700,000
-Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika badala ya kutumia fursa hii kuungana na kuzalisha, kuuziana na kuwauzia wazungu tunawaza kutekana...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na Wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi .
Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa...
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini.
Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE
Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika
Amesema “Mahitaji...
Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo;
1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo. Umeme husaidia sana kuendesha viwanda hivyo gharama zikiwa kubwa ata bidhaa zitauzwa kwa bei kubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.