uwekezaji

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hatua Nne za Kimkataba Uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam

    HATUA NNE (04) ZA KIMKATABA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM 1. Makubaliano ya ushirikiano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Dubai - Makubaliano tayari yamesainiwa na kupitishwa na Bunge la Tanzania kwa lengo la kuweka Msingi wa Makubaliano baina ya nchi ili kuwezesha kuingia kwenye majadiliano ya...
  2. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

    Hamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake cha kawaida makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo Jumapili, Julai 9, 2023, chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mambo mengine imejadili mkabata wa makubaliano ya uwekezaji na uendelezaji wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua

    Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua. 1. Tatizo la kwanza ni kutojali na rushwa. 2. Kutoheshimu taaluma za watu. 3. Ubinafsi na kujilimbikizia mali 4. Ujinga na uchawa. 5. Uongo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari ya Dar es Salaam na uwekezaji wa DP World huu ndiyo mtazamo wangu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusu DP World kuwekeza ktk bandari ya Salama. Mimi binafsi Kuna vitu kadhaa nimevibaini ktk mjadala huu. 1) Wanaopinga ni km hawajui wanapinga nini na wanaounga mkono hawajui wanaounga nini. 2) Kitu kingine ni bendera fuata upepo. Baadhi ya...
  5. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

    Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imefikia wapi suala la uwekezaji bandarini na DPW?

    Wanajamvi salaam Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW? Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge? sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe. Nawasilisha.
  8. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko na Uwekezaji sekta ya Kilimo vizingatie mustakabali wa mwanamke katika kilimo

    UTANGULIZI. kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba asilimia kubwa(zaidi ya 90%) ya watanzania...
  9. mambio

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji bandari. Mwenye masikio na asikie

    Kumbe kunawaliojaribu kuishauri serikali. Mambo ni mengi muda mchache. Kula chuma hichoo!
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  12. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yaishauri Serikali ifafanue mashaka katika Mkataba wa Uwekezaji wa bandari

    Baraza la Waislamu Tanzania limeitaka Serikali kufafanua maeneo yanayotiliwa shaka kuhusu uwekezaji bandari. Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nuru Mruma ametoa wito kwa Serikali kupokea maoni ya wananchi kuhusu sakata la Bandari, huku akiitaka ifafanue maeneo...
  13. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mifumo ya bandari inahujumiwa kubariki uwekezaji tarajiwa?

    Kwa Siku kadhaa sasa mifumo ya bandari haifanyi kazi hivyo kupelekea wadau ktk Masuala ya forodha kukwama kutoa mizigo mbalimbali. Mkwamo wa System Kwa muda mrefu huleta usumbufu mkubwa ,hasara kubwa na taswira hasi kuhusu bandari na Taifa Kwa kuzingatia ushindani uliopo ktk ukanda tuna bandari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji

    TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji | TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa na uwekezaji

    Benjamin William Mkapa katika hotuba ya uzinduzi wa kitabu chake alikiri kuwa, Moja ya kosa alilojutia ni suala la Ubinafsishaji. nanukuu kauli yake; "Nikiri kuwa moja kati ya kitu kinachoniuma zaidi nilichokifanya kipindi cha utawala wangu ni kuruhusu sera ya ubinafsishaji. Sera hii...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ikitokea likaja wazo kuwa uchague kati ya kubinafsisha ardhi, bandari, mbuga, kwa uchukuaji uitwao uwekezaji na ikulu, utachagua kipi?

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar). Tangu tuanze sheria za...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  20. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
Back
Top Bottom