Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,932
- 4,086
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa muongeze idadi ya camera katika uwanja wa UHURU na pia mjitahidi kuweka camera zitakazorikodi kutoka juu ili tuuone uwanja katika ukubwa wake kama mechi za EPL na ligi nyingine barani ulaya.
Leo hii nadhani idadi ya camera zinazotumika kurecord matangazo mubashara ya mechi kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar hazizidi tatu na hakuna camera ya juu hata moja.